VIDEO: Msichana Membo Akiiba Mbele za Watu Inakuaje? Jamaa Walitegesha Video Camera, Jionee Ilivyokua Hapa...


Jamaa wametegesha video camera sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha hii camera kwenye nchi kama Tanzania mpaka watu wajue ni mchezo unachezwa tayari mtu ameshapokea kipigo.
Nimekuwekea video hiyo hapo chini mdau! Waweza ipakua/download au play kuicheki!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini