Fahamu Jinsi Kuongeza Ukubwa Wa HIPS na MAKALIO Kwa Kutumia Dawa Asilia Ya Mvunge!

Zipo dawa mbalimbali za asili zinazo weka kutumika kuongeza ukubwa wa makalio na hips. Katika dawa hizo dawa asilia ya Mvunge imethibitika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kuongeza ukubwa wa makalio na hips .
Utomvu pamoja na unga unga wa mvunge vyote kwa pamoja hutumika katika kuongeza ukubwa wa makalio na hips.

Wakati utomvu ukitumika kwa kuchanja na kupaka, ama kuchua, unga unga hutumika kwa kuchemsha na kunywa ama kuchanganya kwenye maji ya moto na kunywa.

Utomvu wa mvunge, huchanganywa pamoja na dawa asilia nyingine iitwayo kiberiti upele,, pamoja na filifili.

Ukichanganya utomvu wa mvunge, dawa asilia iitwayo kiberiti upele, dawa asilia iitwayo filifili pamoja na dawa asilia iitwayo AMBARI NYEUPE ( Ile original ) halafu ukampatia mwanaume mwenye maumbile madogo ya kiume ajichue mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku tisini, basi maumbile yataongeza kwa kurefuka na kunenepa na yatakuwa yenye nguvu barabara.


Mvunge una utajiri mkubwa sana wa virutubisho viitwavyo Phytoestrogens ambavyo huusika na uzalishaji wa homoni mwilini.

Pia mvunge una virutubisho viitwavyo diosgenin ambavyo huzalisha na kurutubisha viwango vya homoni iitwayo estrogen ambayo huusika na kuongeza ukubwa wa makalio.

DOZI YA MVUNGE :
Kama tulivyo eleza hapo awali, dozi ya mvunge hutakiwa kutumika kwa kunywa pamoja na kupaka ama kujichua.

Mtu anaye taka kuongeza ukubwa wa makalio yake, anatakiwa kutumia dozi zote mbili, ya kunywa pamoja na kupaka.

DOZI YA KUNYWA:
Kwa kunywa, chukua vijiko vine vidogo vya unga unga wa mvunge kisha changanya na maji ya moto, koroga kisha kunywa. Utafanya hivyo mara mbili kwa siku kwa siku tisini, asubuhi na jioni.

DOZI YA KUPAKA:
Tumia kujipaka kwa kujichua kwenye makalio na hips, utomvu wa mvunge ulio changanywa na dawa asilia iitwayo kiberiti upele, filifili nyeupe, ambary nyeupe (original ) pamoja na asali.
Utafanya hivyo mara mbili kwa siku kwa muda wa siku tisini, asubuhi na jioni. Utapata matokeo mazuri sana.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …