AJALI MBAYA YAUA 3 NJOMBE

Taswira baada ya ajali hiyo.
WATU watatu waliokuwa wakitembea kwa mguu wamepoteza maisha papo hapo baada ya kugongwa na gari dogo lililopoteza mwelekeo mkoani Njombe usiku wa kuamkia leo.
Gari dogo baada ya kuligonga lori la mafuta.
Gari hilo lilipoteza uelekeo baada ya kumulikwa na lori la mafuta lililokuwa mbele yake na kuwagonga watu hao kisha kulivaa hilo lori na kuharibika vibaya. Watu waliokuwa ndani ya lori hilo wamejeruhiwa vibaya.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo iliyoua watu watatu.
Lori la mafuta baada ya ajali.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini