Pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Kajala ‘Mbwa Mwitu’

Muigizaji wa filamu,Kajala Masanja maarufu kama Kajala (Sept 24) amezindua filamu yake mpya iitwayo ‘Mbwa Mwitu’.Uzinduzi huo umefanyika Century Cinema (Movie Theater) iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kuhudhuriwa na waigizaji wenzake pamoja na wadau wa filamu nchini Tanzania.

Mastaa walioshiriki katika kuigiza kwenye filamu hiyo ni Hemed Suleiman aka PHD,Grace Mapunda,Kajala pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka.

Tazama picha mbalimbali hapa














Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini