DEREVA BODABODA APOTEZA FAHAMU BAADA YA KUGONGANA...!


kal.4_f2c41.jpg
wakazi wa kata ya mwangata manispaa ya iringa wajikusanya kushuhudia ajali ya pikipiki na pikipiki kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
kal_140ab.jpg
Dereva bodaboda akiwa hajitambui baada ya kugongana na mwenzake baada ya kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
kals_d9ff5.jpg
Dereva bodaboda akibebwa na wasamaria wema kupelekwa hospitali baada ya  kugongana na mwenzake na kusaidiwa na wananchi wa kata ya mwangata manispaa ya iringa waliojikusanya kushuhudia ajali ya pikipiki na  kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
kal.2_081f4.jpg

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini