BAADA YA PICHA ZAKE ZA AIBU, MEZ B AZUNGUMZIA SAKATA HILO, MSIKILIZE HAPA


Kutoka Chamber Squad mmoja wa wanakundi hilo anayo ya moyoni juu ya picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali inayomuonyesha akiwa na wasichana ambao sehemu kubwa ya mwili wao iko wazi.

Mez-B
Ameongea na Soudy Brown na kuelezea hali ilivyokuwa mpaka kupigwa kwa picha hizo ambazo maelezo ya Mez B ni picha ambazo alipiga mwaka jana wakati anashoot video ya wimbo wa Shemeji.

Bonyeza play kusikiliza

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini