KIJANA AKAMATWA NA MITAMBO YA KUWAIBIA AZAM NA ZUKU


Bw. Ali anayedaiwa kuunganisha

visivyo halali, mitambo ya kurusha
matangazo ya televisheni ya vituo
mbalimbali kwa malipo rahisi.
Katika hali ya kushangaza, mtu
mmoja anayefahamika kwa jina la
Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini
Dar, amekamatwa na polisi baada
ya kudaiwa kuunganisha visivyo
halali, mitambo ambayo
iliwawezesha watu kuangalia
matangazo ya televisheni ya vituo
mbalimbali kwa malipo rahisi.
Awali, msamaria mwema mmoja alipiga simu kwa kikosi kazi cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers na kukitonya juu ya uwezo wa mtu huyo anayewashangaza kwa utaalamu wake wa kuunganisha mitambo hiyo bila kugundulika.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini