MABASI YA MIKOANI KUKAGULIWA LESENI DAR


Askari wa usalama barabarani wakikagua mabasi ya mikoani.…
Askari wa usalama barabarani wakikagua mabasi ya mikoani.
Mabasi yakiwa katika foleni.
Watu wakifuatilia zoezi hilo la ukaguzi.
Msaidizi wa dereva  akifanyiwa majaribio na askari wa usalama barabarani (hayupo pichani).
JESHI la polisi nchini kupitia kitengo cha Usalama Barabarani kinafanya ukaguzi wa leseni pamoja na vyeti mbalimbali  kwa madereva wa mabasi yaendayo mikoani.
Zoezi hilo la ukaguzi  limeanza wiki hii na linategemewa kuwa endelevu, hayo yamesemwa na Mkuu wa Polisi Trafiki Wilaya ya Kipolisi Magomeni,  A/Inspector Serengeti Action Nyakachara.Kamera ya GPL, leo asubuhi imeshuhudia mabasi ya mikoani yakikaguliwa katika stendi  ya Ubungo jijini Dar es Salaam.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini