PICHA: TRANSFOMA ZA TANESCO ZILIZOUNGUA BAADA YA KUIBWA MAFUTA NA KUSABABISHA HASARA YA BILIONI 1.4



Afisa usalama wa shirika la umeme nchini Tanesco Cyprian Lugazia akiwaonyesha waandishi wa habari transifoma zilizoungua baada mafuta yake kuibwa na kulisababishia hasara shirika hilo Ya jumla ya shilingi bilioni 1.4 katika kipindi cha miezi minne tangu April mwaka huu.(Picha na Kenneth Ngelesi)

Transfoma ziliungua baada ya mafuta yake kuibwa na vishoka na kulisababishia shirika hilo hasara jumla ya shilingi bilioni 1.4 katika kipindi cha miezi minne kuanzia April mwaka huu.



Transifoma mali ya shirika la umeme nchini (TANESCO) yakiwa yameungua baada ya kuibwa mafuta na kulisababishia hasara shirika hilo zaidi ya shilingi bilioni 1.4 katika kipindi cha miezi minne tangu April mwaka huu

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini