Hali ya soko la Tandika mtaa wa Kizonga

Hii ndiyo hali ya soko la Tandika, jijini Dar es Salaam. Soko ambalo mara nyingi nafaka za jumla kama Mahindi, Mchele na maharage huuzwa hapo hivyo kutegemewa na wakazi wengi wa jijini.  Hapa  sehemu tu ya Mtaa mmoja ujulikanao kwa jina la “Kizonga”.



Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini