BEN POL AZUA ZOGO BAADA YA KUPOSTPICHA YA ALICIA AKIWA MTUPU KUSAPOTI WEAREHERE CAMPAIGN


Mwanamuziki wa RnB Tanzania amezua balaa katika baada ya kupost picha ya mwimbaji wa kike Alicia Keys akiwa mtupu na mjamzito na kuandika ‘I Love it’ .

Picha hiyo imepokelewa kwa mitazamo tofauti ya mashabiki wanaomfuata Instagram ambapo wengine walionesha kushangazwa na kitendo hicho huku wengine wakimsapot na kumtetea wakieleza kuwa hakuna kosa kwa kuwa alikuwa anasapoti kampeni ya ‘We are Here’ inayopewa nguvu na Alicia kwa mtindo huo

Kampeni hiyo inatafuta sapoti ya watu wote duniani wanaopenda dunia iwe na amani kwa ajili ya kuwalinda zaidi watoto. Alicia amefanya wimbo maalum kwa ajili ya kampeni hiyo na ameeleza kuwa anataka dunia nzima iuimbe.Ingia hapa kufahamu zaidi kuhusu kampeni ya We Are Here inayolenga katika kuhamasisha amani na uzazi salama kwa ajili ya watoto wote duniani.

“It’s you and me on a mission to create a kinder and more peaceful world. The #WeAreHere Movement begins today. Read more here and thank you @nickkristof for sharing your bright voice with all of us. (Link in bio).” Aliandika Alicia kwenye post yake aliyoweka picha hiyo.  

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini