RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM 2014
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta
Vipengele vingi vimebadilishwa. Haya hapa ni mambo ya Muungano:
Mambo ya Muungano
1. Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2. Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
3. Usalama na usafiri wa anga.
4. Uraia na uhamiaji.
6. Sarafu na Benki Kuu.
7. Kodi ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika,
ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania
na zinazosimamiwa na Idara ya Forodha.
8. Mambo ya nje.
9. Usajili wa vyama vya siasa.
10. Mahakama ya Juu na Mahakama ya Rufani.
11. Elimu ya Juu.
12. Baraza la Taifa la Mitihani na mambo yote yanayohusika na kazi za Baraza hilo.
13. Utabiri wa hali ya hewa.
14. Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
IPAKUE MWENYEWE HAPA: RASIMU YA TATU