JAMBAZI SUGU LAUAWA KWA KUCHOMA MOTO NA KUBAKI MAJIVU MKOANI DODOMA

 
Jambazi sugu limeuawa na kuchomwa moto Mkoani Dodoma katika wilaya ya Chamwino kijiji cha Fufu. Kabla ya Jambazi hilo kuuawa na wanachi unaambiwa lilikuwa linataka kufanya uhalifu na baada ya kushindikana likaamua kuuwa raia wawili kwa bastola aliyokuwa nayo. Jambazi hilo lililokuwa na wenzake watatu ambao walikimbia na hawakufanikiwa kukamatwa. Ingawa Askari wakishirikiana na Raia wema wakiendelea kuwasaka hao watatu waliotoroka...Hadi ripota wa blog hii akiondoka eneo la tukio jambazi hilo lilikuwa linazidi kuteketea kwa moto na kubakia majivu..

 
Wananchi wakishuhudia mwili wa jambazi likiteketea kwa moto.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini