15 PICHAZ: Tazama Cristiano RONALDO Alivyojiachia Beach na mtoto wake kwenye visiwa vya Bahamas…

jr6


Kuna ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka, kwa mtoto wa Cristiano Ronaldo iko hivyohivyo… ukimwangalia ana dalili zote kufuata njia ya baba yake kwenye soka.

Ronaldo na mtoto wake huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka mitano wameonekana wakijipumzisha katika ufukwe wa Bahamas huku dogo akiwa busy muda wote  ni yeye na mpira, baba yake alikuwa pembeni pia wakiendelea kula zao good times.










Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini