Mtoto wa Rais JK na ushindi wa Medali Marekani, LOWAASSA Akimbiza Urais CCM.. Ushirikina kwa Walimu Mara

Jumatatu JUNE 29 2015 tayari siku nyingine imeanza, stori za Magazetini zina headlines nyingi tofauti tofauti, unajua nini kimetawala leo?

Kwenye stori kubwa iko ya Edward Lowassa kuwakimbiza wenzake katika safari ya kugombea Urais CCM, UKAWA yawasha moto wa BVR Dar es salaam kwa kutoa elimu ya matumizi ya mashine hizo.. iko nyingine pia kuhusu mtoto wa Rais JK, Khalfan JakayaKikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

Stori nyingine inahusu Walimu mkoani Mara kuteswa, wamefanyiwa vitendo vya kishirikina, kuibiwa mali zao na kubakwa, kitendo kilichosababisha walimu hao kuomba uhamisho… Nyingine kubwa ya leo ni kutoka Uingereza ambako vijana nchini humo wametakiwa kuvuna mbegu za kiume watakapofika miaka 18.
Utazisikiliza stori zote kwenye hii sauti hapa chini niliyorekodi #PowerBreakfast@CloudsFM...

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini