VIDEO: Tazama jinsi magaidi yalivyoivamia hoteli ya kitalii nchini Tunisia na kuua watu 38

Takriban watu 38 wengi wao wakiwa watalii kutoka nchini Uingereza wameuawa jana baada ya magaidi wenye silaha kuivamia hoteli ya kitalii ya Imperial Marhaba iliyopo kwenye mji wa kitalii wa Sousse.
2A010DFE00000578-3140454-image-a-71_1435330788129

 Miili ya watalii waliouawa ikiwa imefunikwa mataulo
Idadi ya watu waliopoteza maisha inatarajiwa kuongezeka zaidi.
2A02B79C00000578-3140454-image-a-58_1435362268334Watalii walionusurika wakipeana pole
Kundi la kigaidi na ISIS linadaiwa kuhusika na kumtaja Abu Yahya Qayrawani kuwa ndiye muuaji ambaye hata hivyo naye aliuwa na vikosi vya ulinzi vya Tunisia.
2A0172A500000578-3140454-image-a-13_1435339437560
Hapa chini ni video iliyorekodiwa kwa simu ikionesha tukio hilo lilivyokua.
2A01617000000578-3140454-image-a-25_1435341858496
Chanzo: Daily Mail

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini