VIDEO: Rihanna Apiga ‘Bonge la Stunt’ Jukwaani BET Awards Leo

Ni kweli ama? Rihanna amewaacha watazamaji wa BET Awards 2015 waliokuwa wakiangalia live kwenye screen zao baada ya kumtupia lundo la hela Rais wa Vipindi wa BET, Stephen Hill.
Tuzo hizo zimetolewa nchini Marekani, alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki.
Baada ya kufanya hivyo mrembo huyo alipanda jukwaani kutambulisha kionjo cha video ya wimbo wake ‘Bitch Better Have My Money.’
Hata hivyo imebainika kuwa hiyo ilikuwa ni stunt tu kwa ajili ya kupromote video ya wimbo wake huo.
Baada ya hapo Rihanna alipost picha Instagram akiwa na Hill na kuandika, “We kissed and made up. #BETAwards What a night.”
11334599_892955627444427_515503046_n
Cheki video hiyo hapa chini...

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini