WEMA SEPETU MBUNGE MTARAJIWA ATOA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI WAKE!

Wema Sepetu akiwa na Meneja wake 
wemasepetu Nimekuwa nikipata maswali from Different people wakiuliza je kama wapo nje ya nchi michango yao inanifikiaje... Okay then kwanza thank u guys sooo much... Ila pia michango inaweza kunifikia through my account 047201058020 Wema Isaac Sepetu NBC Bank... Asanteni sana... And pia kama kutakuwa na wale wa western Union then unaweza kutuma through My name Wema Isaac Sepetu... Details utanitumia through Direct Message kupitia hapa hapa Instagram ila iwe Direct message... Asanteni sana!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini