PICHAZ: Tazama Mapokezi ya Steve Nyerere alivyotangaza kugombea Ubunge wa Kinondoni

Steve II


Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.

Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka MICHUZI BLOG ambazo zimepigwa kwenye viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.



Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini