HABARI NJEMA! Utatamani kuiona gari ya kifahari iliyotengenezwa Afrika? Nina PICHAZ zake 7 hapa...

150629164316_kantanka_640x360_bbc_nocredit


Ukipita barabarani ni kawaida utakutana na majina ya magari yaliyozoeleka kama Toyota, BMW, Benz, Scania, Suzuki, Honda… Hayo yote ni magari ambayo viwanda vyake viko nje ya Africa.

Lakini ninayo good news kwamba huenda tukakutana na brand za magari yanayozalishwa hapahapa Afrika na ni magari ya kifahari kabisa ambayo unaweza kufananisha na Benz naBMW!

Gari hii imetengenezwa Ghana, inaitwa Kantanka 4×4.. pichaz zake kuanzia inavyoanza kutengenezwa mpaka ilivyokamilika ziko hapa.






Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini