Ni ALI KIBA Kwenye Trace TV na New Video!


Jumatatu ya June 29, 2015 Ali Kiba ameandika kwenye page yake kuwa video yake mpya Chekecha itachezwa na moja ya vituo vikubwa vya TV Afrika vinavyopewa heshima kubwa kwa kuisambaza burudani.

Ilikua saa 11:35 ya asubuhi kupitia kituo cha TRACE TV kiliicheza video hiyo kwa mara ya kwanza ikiwa ni hit single nyingine inaitwa ‘Chekecha’







 Pichaz zote kwa hisani ya millardayo

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini