KUMEKUCHA! ALI KIBA AANZA KUJIBU MASHAMBULIZI VIDEO YAKE KUZINDULIWA KIMATAIFA TRACE TV...TAREHE NA MUDA VIPO HAPA MDAU!

Kile kichupa kilicho kuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu toka kwa Ali Kiba mfalme mwenye kiti kilichokosa mfutaji vumbi na kukikalia jumatatu anazindua video hiyo kupitia chanel ya Trace na nyinginezo nchini. Huu ni mwanzo wa kujibu mashambulizi ya video kali kwenye gemu la muziki kwa sasa!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini