HABARI PICHAZ: WATU 11 WAUAWA KWENYE MAPIGANO MALI!

Malian soldiers fight while clashes erupted in the city of Gao on February 21, 2013 and an apparent car bomb struck near a camp housing French troops as Malian and foreign forces struggled to secure Mali's volatile north against Islamist rebels.  AFP PHOTO / FREDERIC LAFARGUEFREDERIC LAFARGUE/AFP/Getty Images


Takribani watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa Kiislamu na Jeshi.
Mkazi mmoja kwenye Mji wa Nara, ameeleza kuwa watu hao waliwasili kwa magari na pikipiki mapema asubuhi ambapo walipandisha bendera yenye maandishi ya kiarabu.


Walioshuhudia walisema kuwa wanajeshi walijibu ambapo kulitokea ufyatulianaji wa risasi karibu na msikiti na kituo kimoja cha afya.
Shambulizi hilo linafanyika baada ya waasi wa Kiarabu na wale wa Tuareg kutia sahihi makubaliano ya amani na serikali ya Mali.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini