THEA Atetea Wasanii Chipukizi!

Ndumbangwe Misayo ‘THEA’ ametaka wasanii chipukizi wathaminiwe katika fani hiyo kwani wana umuhimu wao katika utengenezaji wa Filamu pia. 

Akizungumza na safu hii katikati ya wiki, Thea alisema kila msanii ana thamani yake kutokana na nafasi yake katika kazi ya Filamu . Hivyo ametaka wathaminiwe kulingana na kazi zao badala ya kuwawekea vizuizi vinavyokwamisha maendeleo ya vipaji vyao . 

"MIMI nimeshirikishwa katika Filamu na wasanii ambao hawana nafasi na nimeona kazi zao ni nzuri kuliko hata hao wasanii ambao wanajulikana hapa nchini", alisema Thea.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini