Baba huyu alishindwa kuvumilia kelele za mwanaye wa wiki mbili aliyekuwa akilia na kumfanyia unyama case

case
Baba aliyejulikana kwa jina la Nemanja Petrovic, aliamua kumtupa mtoto wake wa siku 15 kutoka gorofa ya kwanza baada ya kumbembeleza kwa muda mrefu bila kunyamaza.
Mwanaume huyo alisema amechukua hatua hiyo baada ya kushindwa kulala kutokana na kelele za mtoto huyo aliyekua akilia wakati wote.
Mtoto huyo alifariki muda mchache baada ya kuanguka chini na Polisi wa nchini humo wanamshikilia baba huyo huku wakiendelea na upelelezi kujua mama wa mtoto huyo alikua wapi wakati tukio hilo likitokea.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini