WABUNGE WAAMUA MISHAHARA YAO IPUNGUZWE buk

bukWabunge wa bunge la Burkina Faso wamekubali kupunguza mishahara yao kwa asilimia hamsini.
Uamuzi wa Wabunge hao unatokana na kuibuka kwa malalamiko ya wananchi katika mitandao ya kijamii nchini humo kuwa wamekua wakipokea kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya milioni nne kwa mwezi huku mfanyakazi wa kawaida akipokea dola moja na nusu.
bukiiMshahara huo unajumuisha marupurupu ya kuhudhuria vikao vya bunge, kulipia ofisi, bima ya afya pamoja na fedha za kununua Petrol.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini