KALI YA MWAKA: WANANCHI WILAYANI MAKETE WAMCHINJA DUMA NA KUMLA NYAMA, ANGALIA PICHA

 Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
 Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila. Taarifa zaidi itakujia hapa EDDY BLOG. Picha na Aldo Sanga-eddy Blog Makete.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini