MADEREVA WA DALADALA ‘WACHOMEKEANA’, WAPEANA KIBANO


Madereva na wananchi wakitoa maelezo kwa askari wa usalama barabarani (mwenye nguo nyeupe).


Abiria wakirudi ndani ya daladala baada ya mabishano kumalizika.
MADEREVA wa daladala zinazofanya safari za Kawe-Kariakoo na Kawe-Mbagala wamejikuta wakikunjana mashati mbela ya askari wa usalama barabarani baada ya ‘kuchomekeana’ magari  wakiwa barabarani na kusababisha gari moja kukiharibu kioo cha kuona taswira ya nyuma (side mirror) cha daladala njingine, jambo ambalo lilimfanya askari huyo kuingilia ugomvi huo.
GPL

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini