Hii taarifa inamuhusu binti aliyefungiwa ndani na kubakwa na wazazi wake kwa miaka mitano shadow
Binti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.
BINTI HUYO alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati wa usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.
BINTI HUYO ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo ambalo
amedai limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu
kwa wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata
yeye.