WANANCHI WAMFANYIA VURUGU MWENYEKITI WA MTAA WA KIGOGO FRESH ANAYEDAIWA KUTAKA KUAPICHWA KINYEMELA

Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM),  wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam
Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini