MWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO







Picha za tukio zima la kuteleza kwa pikipiki hiyo na kuanguka hadi kusaidiwa na wasamaria kuiweka sawa.
MWENDESHA pikipiki ambaye hakujulikana jina, amenusurika katika ajali iliyotokea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kuteleza na kuacha njia na kuanguka.
(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini