Hali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja!

Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi yaOxford Dictionaries.
Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita mitandao mingine ya kijamii ambayo ilitangulia kuwepo kama Facebook na Twitter, tunayaona mengiInstagram, ndiko ambako tuliona pia ile ishu ya kuvuja kwa Selfie ya Malia Obama akiwa amevaa Tshirt ya Kundi la washkaji wanaofanya Hiphop Marekani, Pro Era

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini