KUTANA NA MWANAJESHI WA KIUME ALIYEBADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE!!!!

Ukimuona kwa jinsi alivyo mrembo na sura ya kike kweli, huwezi kudhania kuwa, Hannah Winterbourne alizaliwa mwanaume.
Ni mwanajeshi mahiri aliyefanya kazi kwenye maeneo ya vita nchini Afghanistan na sasa ameamua kujitokeza kama mwanajeshi wa kwanza nchini Uingereza kuwahi kubadilisha jinsia yake. 



Picha ya kushoto Taswira ya sasa Kuliani ya zamani Ni ofisa wa jeshi kitengo cha Royal Electrical and Mechanical Engineers nchini Uingereza mwenye umri wa miaka 27 aliyetumikia jeshi katika miaka yake ya kwanza kama mwanaume kabla ya kuamua kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke.Anadai alipokuwa mtoto alijihisi kuwa mwili wake haukuwa sawa kama watoto wengine wa kiume na umri ulivyoenda ndipo alipozidi kugundua kuwa huenda akawa mwanamke.


Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini