Utafiti: Matangazo ya barabarani yenye wasichana waliovaa kimitego huwachanganya madereva


Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema.

Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta wamebaini kuwa matangazo yenye picha za aina hizo huathiri tabia za uendeshaji.
 
Utafiti huo ulionesha kuwa matangazo ya aina hiyo yana madhara ikiwemo kuhatarisha usalama wa watu, kuongezeka kwa kugongana magari na kusababisha foleni za magari kwenda taratibu.
 
Chanzo: Sunday World

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …