Jionee uzinduzi wa Promosheni ya #JayMilions ya Vodacom Tanzania kwenye pichaz Image00008

Image00008
Siku ya jana January 13 Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliandika historia kubwa na nzuri ambayo ni ya kwanza tangu tuingie 2015.
Vodacom walikutanisha watu wa nguvu pale Double Tree, Masaki Dar es Salaam, usiku wa jana kwa ajili ya shughuli yote ya uzinduzi wa Promosheni ya #JayMilions.
Unaambiwa kwamba huu ni mchezo wa bahati nasibu ambapo wateja watajishindia pesa Sh. bilioni 30/- kama zawadi ndani ya kipindi cha siku 100, namna ya kujiunga unaweza kutuma sms yenye neno ‘JAY’ kwenda namba 15544 ambapo utajua pia kama wewe ni mmoja ya washindi wa siku hiyo.
Image00001
Image00002
Image00004
Image00005
Image00006
Image00007
Image00009
Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde akiwa na MC Pilipili.
Image00011
Image00013
Image00014
Waandishi wa Habari waliojitokeza wakati wa uzinduzi wa #JayMillions, Double Tree.
Image00018
‘Balozi Zembwela’ na bodyguards wake wawili.
Balozi wa #JayMilions, Zembwela moja ya vitu alivyoifanya jana ni kutoa pesa kwa watu walioshinda maswali mepesi yaliyokuwa yakiuliza wakati wa uzinduzi huo.
Balozi wa #JayMilions, Zembwela moja ya vitu alivyofanya jana ni kutoa pesa kwa watu walioshinda maswali mepesi yaliyokuwa yakiuliza wakati wa uzinduzi huo. Huyu bwana alikuwa akihesabu alizojishindia.
Image00020
Kelvin Twissa, Zembwela pamoja na bodyguards wawili wa kike wa ‘Balozi Zembwela’.
Image00021
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom TanzaniaKelvin Twissa.
Image00024
Image00026
LeMutuz, Zembwela, Matina Nkurlu na Kelvin Twissa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini