Posts

Showing posts from July, 2015

Pesa za Mbunge za kuwahonga wapiga kura CCM zakamatwa na TAKUKURU

Image
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU wilayani Maswa mkoani Simiyu inamshikilia dereva mmoja aitwaye ,Seketure Kyaliga ambaye alikuwa akiendesha gari aina ya Noah lenye amba za usajili T281BCK ambalo lilikuwa na pesa za kugawia wajumbe wa chama cha mapinduzi. Akiongea na waandishi wa habari  mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani simiyu,Adili Elinipenda amsema kuwa dereva huyo ambaye pia ni mratibu elimu kata ya nyangokolwa wilayani Bariadi, alikamatwa majira ya saa tano usiku katika kijiji cha nguliguli wilayani maswa akiwa anaendesha gari hilo ambalo baada ya kulikagua walikuta pesa kiasi cha shilingi laki nne zenye noti mpya za elfu mbilimbili. Amesema kuwa  baada ya maafisa hao kumhoji amekiri kuwa gari hilo lilikodiwa kugawa pesa hizo kwa wajumbe na mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Maswa Peter Bunyogori ambaye pi ni mgombe wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi. Kufuatia hali hiyo mkuu huyo wa TAKUKURU ameonya wagombea wa...

VIDEO: Jamaa wametegesha video camera wanajifanya haya magari makali ni yao, wanaita Wasichana kuwatest na lift

Image
Hii video ninayokuonyesha hapa chini ni moja ya video zilizorekodiwa na hawa jamaa Marekani wakijidai ndio wanamiliki haya magari alafu wanatumia kuwatokea Warembo wakati huohuo kumbe ni mchezo na wanarekodiwa kwenye camera bila Warembo wenyewe kujua……. itazame hapa chini!

MASTAA Wanaomfuata LOWASSA Waonywa!

Image
Staa  wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa mastaa waliotangaza kumfuata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amehamia UKAWA hivi karibuni akitokea CCM kwamba waachane na tabia ya kufuata mkumbo. Akipiga stori na gazeti hili alisema kwamba wale mastaa wanaomfuata Lowassa wanatakiwa kuwa makini na wasikurupuke kwa kufuata mkumbo bali watafakari kwanza kwamba yeyote wanayemshabikia anafaa na atawasaidia katika maisha na kazi zao kwani wengi wanajikuta wakifuata mkumbo tu. “Mimi sijui niko upande gani ila yeyote atakayeonekana anafaa kutuongoza sisi wananchi ndiye nitakayemsapoti, huwa sina mambo ya timu kwa kweli, nawasihi wasanii wenzangu waachane na kukurupuka katika mambo haya ya siasa,” alisema Shamsa.

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO UNATAKIWA UWE NAO KWENYE MAHUSIANO!

Image
Finding a good woman is not an easy task, especially in an era where lots of women are master manipulators who abuse their female sexual power and exploit male vulnerabilities. Still, there are a lot of good women out there with traits that would make any guy happy. Earlier we had carried an article where you learned about the types of women to avoid dating. Now, here's a list of the good types of women you should be dating: 1. The independent woman The independent woman has a real life of her own and is happily going in her own positive direction. She's the type who wants a man in her life, but doesn't need a man in her life. An upside of dating this Alpha Female is knowing that she is confident, she won’t rely on you for everything and she certainly isn't looking for men to solve all her problems. 2. The loyal woman This type of woman is ready to go to war with you and take on whatever obstacle life presents. She's not the type that will be checking out other ...

VUNJA MBAVU: Katuni Nyingine ya MBOWE na LOWASSA Inayobamba Zaidi Mitandaoni!

Image

MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI TAREHE 1/8/2015....SIASA, UDAKU, MICHEZO NA BURUDANI!

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 

Kisa LOWASSA...Jacqueline Wolper Achukua Umuzi Huu!

Image
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’. Imelda Mtema KAZI ipo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ kuamua kushonesha vazi maarufu (gwanda) la Chama cha Demokrasia na Maendeleo, chama ambacho mfuasi wake, Edward Lowassa amejiunga nacho Jumanne iliyopita. Mara baada ya Lowassa ambaye aliyekuwa mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM kuhamia Chadema kinachounda umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Wolper alitangaza kusaka fundi wa gwanda katika mitandao ya kijamii, akafanikiwa. “Nina furaha ya aina yake, baba (Lowassa) katoka CCM nami naungana naye katika maisha mapya ya Chadema hivyo nimeshapata fundi, ananishonea gwanda soon nalitinga,” alisema Wolper.

MADAI MAZITO: FLORA MBASHA Amshtaki Tena Mumewe!

Image
  Mwimba Injili Flora Mbasha na mwandani wake wa zamani, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu WAKATI  aliyekuwa mumewe akiwa na msala wa kubaka shemejiye mahakamani, mwimba Injili Flora Mbasha amemshtaki tena mwandani wake huyo wa zamani, Emmanuel Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara.   Emmanuel Mbasha. Chanzo kilicho karibu na Flora kilipenyeza habari kuwa mara kwa mara Mbasha amekuwa akimtishia Flora ndipo mwanamuziki huyo alipoamua kumshtaki polisi. “Jamaa (Mbasha) alikuwa akitumia watu kumtishatisha Flora sasa Flora akaamua kwenda kumshtaki polisi Msimbazi maana ameona lolote linaweza kutokea hivyo awe tayari ameshatoa mashtaka polisi,” kilisema chanzo hicho. Mwanahabari wetu alipomtafuta Flora na kumuuliza kama amemshtaki Mbasha, alikiri na kubainisha kuwa alifanya hivyo kutokana na vitisho mbalimbali alivyokuwa anavipata. “Ni kweli ilibidi niende pale Msimbazi Polisi, nikapewa jalada uchunguzi MS/RB/7000/2014. Mbasha amekuwa akinitishiatishia san...

BALAA TUPU! JOKATE KIDOTI afanya vurugu nyumbani kwao usiku!

Image
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Imelda Mtema Staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ anadaiwa kufanya vurugu nyumbani kwao usiku baada ya kutwaa Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike 2015 katika tuzo zilizotolewa na waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF) hivi karibuni visiwani Zanzibar. Habari kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa staa huyo wa sinema na Bongo Fleva zilieleza kuwa, awali Jokate ambaye hakwenda Zanzibar, hakujua chochote kuhusiana na tuzo hizo hivyo alipopewa taarifa na mtu ambaye alikuwepo kwenye tamasha hilo, alishindwa kujizua na kuanza kutimua mbio ovyo huku viatu akiwa ameviacha katika mgahawa aliokuwa amekaa jirani na nyumbani kwao, Oysterbay jijini Dar. “Unajua Jojo (Jokate) alikuwa hajui kuhusiana na tuzo hiyo, alikuwa amekaa kwenye mgahawa mishale ya saa 3:00 usiku, jirani na nyumbani kwao. “Alipoambiwa ameshindwa ndiyo akakimbilia nyumbani na kuanza kubamiza mageti na kutupatupa vitu, jambo lililosababisha taharuki nyumbani hapo ...

WANACHAMA HAWA WA CCM WAMFUATA LOWASSA CHADEMA!

Image
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa alipokuwa anaingia ukumbini kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Chadema SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa kujiunga na Chadema, wanachama 54 wa CCM akiwemo Mwenyekiti wa Tawi la Mlimwa Kusini, Kata ya Ipagala mkoni hapa, Yahaya Said, wamemfuata.    Akizungumza wakati akiwapokea wanachama hao, Katibu wa Chadema wa wilaya hiyo, Vicent Emmanuel, amesema watawapa ushirikiano wa kutosha wanachama wote wapya wanaojiunga na chama hicho. “Mwenyekiti wa Tawi amejiunga na chama chetu na kuomba kugombea udiwani katika kata ya Mbagala,” amesema. Amesema jumla ya watu watano wametangaza nia ya kuwania udiwani katika Kata hiyo ya Mbagala.   Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chadema, Jella Mambo, amesema kura za maoni za wagombea udiwani zitafanyika Julai 30 na 31 katika kata zote mkoani hapa. “Baada ya kumaliza kura za maoni tutaenda na uamuzi kwenye vikao vya juu vya uteuzi,”amesema.   Kwa upande wake, Said...

TUNDU LISSU: WANAOTAKA KUONDOKA CHADEMA RUKSA!

Image
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu  MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho. Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema. Akizungumza na waandishi wa habari Lissu amesema, “Kama wapo watakaojiondoa Chadema, wengi zaidi watakuja. Tupo katika kipindi ambacho hatujawahi kuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Mfumo tawala unabomoka vipande vipande. Unapo bomoka, dalili zake ni watu ambao wamekuwa katika mfumo huo kuondoka kama alivyofanya Lowassa.” “Mabadiliko katika nchi yanatokea pale mfumo tawala unapo pasuka. Lowassa ni mfano mzuri. Tunamkaribisha kwetu sio kwa sababu ni mwanasiasa msafi. Tumempokea kwa sababu tunaongeza nguvu kubwa kwa wale wanaotaka...

Hatimaye JUMA NATURE Apewa Shavu na LOWASSA!

Image
Msanii mkongwe katika game la muziki wa kizazi kipya, an icon, Temeke native, Juma Nature, ni moja ya wasanii waliotokea kupendwa sana nchini Tanzania, Juma Kassim Nature a.k.a Kiroboto ameweza kumantain game na kuendelea kuwa msanii anayependwa ingawa hajatengeneza hit siku nyingi. “mimi ni bidhaa tayari, tena yenye ubora, toka gari aina ya benz ilipotengenezwa zimetengenezwa gari nyingi lakini benz imeendelea kupendwa na kuonekana ni gari bora, ila limekuwa likiboreshwa tu, hata lisipotangazwa lakini linajulikana tayari, kwa hiyo mimi ni kama benz, nimefanya kazi nzuri siku za nyuma you can’t take that from me, nilishatangzwa mwanzo nikafanya vizuri, wengine lazima waje lakini nao ni bidhaa nyingine, mimi benz, wao wanaweza kuwa, Ferrari, Cadillac, Lamborghini, Mclaren, Toyota mark x kwa hiyo kila bidhaa na watu wake na ubora wake, kwa hiyo mimi kupendwa ni kupendwa tu” amesema. Pia Nature amepost kupitia instagram akiwa na Mhe. Edward Lowassa na kuandika “Mungu yunasi mloshindwa...

PICHAZ: HIZI NDIO NDEGE TANO KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI!

Image
 1 .Ukrainian Antonov An-225 Mriya  2.Airbus A380F  3.Boeing 747-8 4.747-400 ER

BASATA Adhabu Hii Kwa SHILOLE ni Kubwa Mno!

Image
Baraza la Sanaa la taifa, BASATA limekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa shughuli za sanaa zinaenda katika mstari unaotakiwa. BASATA limedai kumfungia Shilole kutojihusisha na muziki kwa mwaka mmoja kwa madai ya kuidhalilisha Tanzania kwa kusambaa picha za aibu alizopigwa wakati anatumbuiza nchini Ubelgiji miezi kadhaa iliyopita   Na kwa kiasi kikubwa baraza limekuwa likijitajidi kuipigania sanaa ya Tanzania kwa namna nyingi ikiwa ni pamoja na kushiriki katika kuanzisha na kusimamia tuzo za muziki za Tanzania, Kilimanjaro Music Awards pamoja na mambo mengine. Miongoni mwa masuala mengine ambayo BASATA imekuwa ikifanya ni kusimamia maadili kwenye sanaa na kutoa onyo ama adhabu kwa wanaoyakiuka. Katika kipindi cha hivi karibuni, BASATA imetoa adhabu mbili kubwa ambazo ni pamoja na kuyafungia mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili na adhabu waliyoitoa jana ya kumfungia Shilole kutojihusisha na masuala ya muziki kwa kipindi cha mwaka mmoja. BASATA imetoa adhabu hiyo ...

Get to know how much Sauti Sol was paid to perform for President Barack Obama in Kenya!

Image
The most successful Kenyan band, Sauti Sol has been trending this week since their performance at the State House dinner event hosted by President Uhuru Kenyatta, in honor of President Obama’s visit to Kenya last weekend. Although some people may have thought the band was paid millions for the performance, but the truth is the opposite. According to Ghafla Kenya, the band was paid 0.00 shillings for their performance, in other words they earned nothing in terms of money. Come to think of it, despite earning nothing but the mileage they got is enough to open new gates to the International markets for them.