Hatimaye Ngoma Sasa ni LOWASSA vs MAGUFULI....Kura yako Utampa Nani?

Hii ndio nafasi ya kipekee UKAWA kuchukua uongozi Tanzania, inanikumbusha msisimko tuliokua nao mnamo mwaka wa 2002, tulivyoangusha KANU na kuanza kujenga nchi upya. Yaani CCM wakikwepa hii na kuponea, basi ndio kabisa watabaki uongozini. Lazima walijua Lowassa atahamia upinzani na wapo wamejipanga pia. Yetu macho, tujionee siasa ya Bongo.
LOWASSA vs MAGUFULI NANI ZAIDI? TUAMBIE HAPO CHINI KWA COMMENT BOX MDAU!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini