KUMEKUCHA! Edward LOWASSA Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Leo Jijini Dar es Salaam!

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania urais katika ofisi za Makao Makuu ya Chadema Jijini Dar es Salaam! 
Kama unamkubali Edo tupia neno moja tu kwake hapo chini kwa comment box tafadhali!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini