Future anaisogeza kwako video wa wimbo wake: Kno The Meaning.




Ni furahiday mtu wangu na msanii wa Hip Hop kutoka Marekani Future anaziandika headlines na ujio wa ngoma yake mpya iitwayo Kno The Meaning inayopatikana kwenye album yake mpya DS2 album inayofanya vizuri kwenye chati mbalimbali za muzikiMarekani.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza play kuitazama.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini