Je, Aliyepigwa na Naibu Spika JOB NDUGAI Amefariki?! Ukweli Upo Hapa...

Kufuatia taarifa zilizo zagaa mtandaoni zikiripoti kifo cha kada wa CCM aliyeripotiwa kupigwa na aliyekuwa naibu spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Job Ndugai.
Mtandao huu wa www.KandiliYetu.com umewasiliana na daktari wa hospitali ya kongwa Dr. Festo na amethibitisha ya kuwa mgonjwa yupo hai na anaendelea na matibabu kama kawaida.
Taarifa za kufikwa na umauti kwa mgonjwa huyo si zakweli, aliongeza daktari huyo.

Mgojwa akiwa Hospitalini akiendelea na Matibabu.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini