NORA: Sifikirii Mapenzi Tena!

NORA
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’.
Brighton Masalu
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amesema kwa sasa hafikirii tena kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kwamba anaamua kuelekeza nguvu na akili zote kwenye kazi. 

Nora ameliambia Amani kwamba, ameamua kuwa hivyo baada ya kuambulia maumivu mara nyingi katika mapenzi, jambo ambalo limechangia kumdidimiza kisanii.

“Sitaki tena kusikia habari za mapenzi, kwa sasa naelekeza nguvu zote kwenye kazi tu,” alisema Nora.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini