GOOD NEWS: Wasafi Records yaonesha nia ya kumsaidia Hawa wa 'Nitarejea'

Haya sasa hawa ndio vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa kusema upo tayari kufanya naye kazi wale waliokuwa wanasema wewe sio mzalendo now sijui wataficha wapi sura zao!


Kama ni kweli Diamond una nia na sio kiki!
MY TAKE: 
 Hubagui huchagui yeyote aje a record bure, miaka 6 tu lakini umefanya makubwa kuliko wenye miaka 30 katika game.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini