WEMA SEPETU Kahamia Chadema? Hapa Nimekuwekea Ukweli Mzima Kuhusu Habari Hii ya Wema Kuhama Chama na Kumfuata LOWASSA!


Meneja wa Wema Sepetu Amekanusha taarifa na picha zinazosambaa kwamba Wema Amejiunga na Chama cha Chadema Kumfuata Lowassa.....Hakuna Ukweli wowote.....Mkiona Habari hizo mzipuuzie....

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini