Kilichonifikia kuhusu ishu ya Tudd Thomas kuvamiwa na kuibiwa usiku Mlimani City
Tayari imenifikia story inayohusu ya Producer wa muziki Tudd Thomas kuvamiwa usiku wa kuamkia July 31 2015… Post ya stori hii imewekwa pia kwenye ukurasa wa Instagram @cloudsfmtz kwamba jamaa kavamiwa na watu wasiojulikana, wamemwibia na kumjeruhi pia.
Timu ya TZA_MillardAyo inaifuatilia hii ishu na kila kitu kuanzia ilivyokuwa, hali yake kwa sasa na mengine yote utayapata kupitia Facebook, Twitter na Insta @millardayo pamoja na #AyoTV Youtube na millardayo.com.