Je, ni Kweli Dr. SLAA, Tundu LISSU na John MNYIKA Hawamtaki Lowassa CHADEMA?! Shuka nayo hapa
The fact that Dr. Wilbord Slaa, John Mnyika and Tundu Lissu did not show up on yesterday Lowassa-Ukawa press conference is very crucial… I mean there must be something going on behind the curtains, let’s just wait and see!
KUMEKUCHA: Siasa ni tamuu! Nasikia Dr Wilbroad Slaa amekataa katakata kukubaliana na maamuzi ya kumleta Lowassa Sijui ni kweli Au?!
Anasema bora akae bila Chama kuliko kukaa chama kimoja na Lowassa. Na inaonesha anaungwa Mkono na Lissu, Mnyika na wengine wengi. Utakuwa mchezo wa kupishana huyu anatoka huyo anaingia! Ngoja tusubirie tuone mwisho wake