Matokeo ya mechi za nusu fainali, Azam FC katinga fainali? jibu lipo hapa


Nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame imechezwa July 31 kwa timu nne kushuka dimbani, huku timu mbili pekee zitakazoshinda ndio zitakazo cheza mchezo wa fainali jumapi ya August 2 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.



Azam FC imekuwa timu ya pili kutinga fainali baada ya kuifunga klabu ya KCCA yaUganda kwa goli 1-0 bao pekee lililofungwa na Farid Mussa dakika ya 76. Hivyo Azam FC itacheza mchezo wa fainali na klabu ya Gor Mahia ya Kenye ambayo imeifunga Al Khartoum ya Sudan kwa goli 3-0.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini