WASOMI WAMPONGEZA LOWASSA KWA MAAMUZI MAGUMU!
Kabla ya kujiunga na Chadema, wadadi wa masuala ya siasa za Afrika wanasema ni Tanzania na Zimbabwe pekee ndizo zilizokuwa bado hazijatikishwa kisiasa, lakini kwa Tanzania Julai 28 bado itakumbukwa.
Katika mahojiano maalum jijini Dar es Salaam mchambuzi wa masuala ya kisiasa Prof. Kitila Mkumbo anasema kimsingi Bw Edward anapaswa kupongezwa.
Licha ya kutajwa kulamba dume, mhadhili huyu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam anasema Chadema bado wanakazi kubwa ya kufanya Dr.Onesmo Kiauke mhadhili wa sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam anasema Bw Edward amebadili siasa za Tanzania lakini je, nini nafasi ya mgombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba Prof anazungumza wadadisi wa siasa bado wanasisitiza wanasiasa kuhakikisha wanafanya saisa kistraabu na kwamba kuwa tayari na chochote kinachoweza kutokea katika chaguzi za mwaka huu.