Cheki mastaa wapya wa Liverpool walivyoipania ligi kuu…(Pichaz)
Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi.
Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya ligi hiyo, lakini wachezaji wapya wa Liverpool Christian Benteke na kiungo Mbrazil Firmino wameonyesha wamepania kuiletea klau yao mambo mazuri.
Katika mazoezi ya Liverpool, wachezaji hao na wenzao wamekuwa wakifanya kila kitu kwa juhudi na kuonyesha kupanga kuleta mabadiliko makubwa katika kikosi chao ambacho wao ni sura mpya.
Watazame wakiwa kwenye mazoezi yao…