HAIJAWAHI TOKEA! Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polis Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani

Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisisiemu lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Edward lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mabomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa..

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini