PICHAZ NYINGINE ZAIDI: Lowassa Alivyofunika Jijini Dar!
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe (wa pili kushoto), akimkabidhi fomu Lowassa.
Lowassa akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Kushoto ni mke wa Lowassa, Regina Lowassa, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Lowassa.
Umati uliohudhuria makao makuu ya Chadema kwa ajili ya kumshudia waziri mkuu wa zamani katika uchukuaji wa fomu ya kuwania kugombea urais.
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walivyojipanga kabla ya kufika Edward Lowassa makao makuu ya chama hicho Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo ili kuchukua fomu za kuwania kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Baadhi ya wananchi wakiwa tayari kumpokea Lowassa.
Viongozi wa Chadema wakiwepo wabunge Ezekiel Wenje (kulia) na Mchungaji Peter Msigwa (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika mkutano huo.
Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema (kushoto) akiwa na viongozi wengine wa chama.
Wafuasi wa Chadema wakiwa na mabango.
Gari la Lowassa likiwasili ofisi za Chadema, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Lowassa.
Lowassa baada ya kushuka kwenye gari lake.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL